You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
25.09.2024
25 Septemba 2024
Viongozi wa dunia wahimiza uwekezaji katika nishati jadidifu
25.09.2024
25 Septemba 2024
Viongozi wa Chama cha Kijani Ujerumani waamua kuachia ngazi
25.09.2024
25 Septemba 2024
Ruto ataka dunia iwekeze kwenye nishati salama Afrika
24.09.2024
24 Septemba 2024
Polisi Ujerumani wafanya msako wa walanguzi wa binadamu
22.09.2024
22 Septemba 2024
AfD na matumaini ya kushinda uchaguzi wa Brandenburg
22.09.2024
22 Septemba 2024
Raia katika jimbo la Brandeburg Ujerumani wanapiga kura
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Viongozi wa chama cha kijani Ujerumani waachia ngazi
Viongozi wa chama cha kijani Ujerumani waachia ngazi
Hatua hiyo ni kutokana na matokeo mabaya ya uchaguzi wa hivi karibuni katika majimbo matatu ya mashariki mwa Ujerumani.
Viongozi wataka uwekezaji zaidi katika Nishati Jadidifu
Viongozi wataka uwekezaji zaidi katika Nishati Jadidifu
Hayo yameelezwa katika Mkutano wa kilele wa Nishati Jadidifu, unaofanyika pembezoni mwa hadhara ya Baraza Kuu la UN.
Ari ya kibiashara Ujerumani yashuka kwa miezi minne
Ari ya kibiashara Ujerumani yashuka kwa miezi minne
Utafiti ulionyesha kuwa shughuli za biashara katika kanda inayotumia Euro zilipungua katika kipindi cha miezi 7.
SPD chapata ushindi uchaguzi wa jimbo la Brandenburg
SPD chapata ushindi uchaguzi wa jimbo la Brandenburg
Chama cha Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz cha SPD kimepata ushindi mwembamba katika uchaguzi wa jimbo la Brandenburg.
Wakimbizi Afrika Magharibi na Kati wafikia milioni 14
Wakimbizi Afrika Magharibi na Kati wafikia milioni 14
UNHCR yataka wakimbizi kujumuishwa katika mipango ya maendeleo ya nchi zinazowahifadhi
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yaliyozingatiwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni pamoja na mzozo uliozuka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya Kongo kukusudia kuwachukua wanyarwanda sita waliokuwa na hatia ya mauaji ya kimbari baada ya kutumikia vifungo jela. Jumuiya ya kimataifa inageukia kwingine wakati vita vinaendelea nchini Sudan. Mtayarishaji Zainab Aziz.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Idadi ya vijana wanaonaswa kwa ugaidi yaongezeka Ulaya
Ni, jinsi gani kundi la itikadi kali linalojiita dola la kiislamu IS linashawishi vijana Ulaya kushambulia maadui zake?
Ulaya na ukaguzi wa muda wa mipakani kukabili wahamiaji
Sheria za Schengen zinaruhusu nchi wanachama kuanzisha ukaguzi wa mipakani ili kuepusha tishio la usalama wa ndani.
Vyama rafiki na Urusi Ujerumani vyapata mafanikio
Vyama vya rafiki na Urusi nchini Ujerumani vya AFD na BSW vinamafanikio kwenye uchaguzi uchaguzi wa majimbo.
Mambo muhimu yanayojenga uhusiano wa India na Urusi
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi yuko nchini Urusi tangu Jumatatu kwa ziara inayolenga kuimarisha uhusiano kati yao.
Faeser: Ujerumani kuwa "mwenyeji bora" wa Euro 2024
Ujerumani imeshuhudia mjadala mkubwa wa kisiasa kutokana na kitisho cha usalama
Wafuasi wa chama cha siasa BSW Ujerumani waipinga AFD
Mwanasiasa mkongwe Sahra Wagenknecht, anaendesha chama kipya cha siasa BSW, ambacho kinachotazamwa kama tishio kwa AFD.
Maudhui yote (6862) kwenye mada hii