Umoja wa Ulaya kuhusu Haki za Binaadamu nchini Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 20.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Umoja wa Ulaya kuhusu Haki za Binaadamu nchini Kongo

Umoja wa Ulaya umehimiza serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya kongo kwa kuhakikisha uhuru wa vyombo vya habari na ule wa kujieleza nchini humo, mwito huo unafuatia mauaji na vitisho dhidi ya waandishi wa habari.

Wakati huohuo ujumbe wa mabalozi wa baraza la usalama la umoja wa mataifa umewasili mjini Kinshasa kwa ziara ya siku mbili.

Mwandishi wetu kutoka Kinshasa Saleh Mwanamilongo ana ripoti zaidi.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com