1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

TAMWA: Historia, dhima na mchango kwa demokrasia ya Tanzania

Ambia Hirsi14 Oktoba 2015

Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA) kilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha sauti ya mwanamke inasikika na matakwa yake yanaakisika kupitia tasnia ya habari nchini humo. Kwa kiasi gani azma hiyo imefikiwa? Ungana na Ambia Hirsi.

https://p.dw.com/p/1Gnln