NEW YORK. mswaada kupendekeza nchi za umoja wa Afrika kupeleka wanajeshi wake Somalia | Habari za Ulimwengu | DW | 28.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NEW YORK. mswaada kupendekeza nchi za umoja wa Afrika kupeleka wanajeshi wake Somalia

Marekani inatarajiwa wiki hii kuzindua mswaada wa baraza la usalama la umoja wa mataifa utakao ziruhusu nchi za kiafrika kuwapeleka wanajeshi wake wa kulinda amani katika nchi ya Somalia kwa ajili ya kuisaidia serikali ya mpito ya nchi hiyo iliyodhoofika.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com