Muda wa matangazo na frikwensi za hivi sasa
Matangazo
UTC: Jumamosi 10:50
Frikwensi: 31mb/9800KHz, 25mb/ 12045 KHz, 19m/15410KHz, 96 mHz FM Kigali tu
UTC: Marudio Jumapili 15:50
Frikwensi: 31mb/ 9800KHz, 41mb / 7300KHz, 25mb/11645 KHz,96 mHz FM Kigali tu
Pia tutatangaza Jumatatu saa 03:40 UTC na marudio Jumanne saa 15:50
Saa hizo na saa za UTC, frikwensi ni za masafa mafupi. Vipindi vyote vinarushwa pia kwa njia ya satelaiti na kwa njia ya mtandao wa internet wa www.dw-world.de/lbe.