1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malengo ya maendeleo endelevu 2030

14 Februari 2018

Katika kuyazindua malengo ya maendeleo endelevu yaliyopitishwa na Umoja wa Mataifa mnamo mwaka 2015, lengo la tano ni muhimu kwa wanawake duniani kote. Lengo hilo linahusu kuleta usawa wa jinsia, kwa kuweka mkazo katika juhudi za kuondoa ubaguzi dhidi ya akina mama na wasichana na kuhakikisha kwamba wanapewa haki sawa katika nyanja zote za maisha. Sikiliza makala ya wanawake na maendeleo.

https://p.dw.com/p/2sf69