1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kujitegemea na kujisimamia bila familia

Yusra Abdallah Buwayhid / M M T1 Oktoba 2015

Miaka anayoitumia kijana akiwa chuo kikuu ni muhumu sana katika kumjenga maisha yake ya baadaye, kwani inakuwa na changamoto kubwa, hasa kwa wale wanaolazimika kuhama makwao na kuishi katika mabweni ama kupanga nyumba binafsi, huku wengi wao ikiwa ni mara yao ya kwanza kuishi maisha ya peke yao na ya kujitegemea mbali na wazazi, mbali na familia.

https://p.dw.com/p/1GgZY