1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiwango cha kukubalika kwa Magufuli

Sylvia Mwehozi
13 Machi 2018

Dr. Onsemo Kyauke, wakili wa kujitegemea na mchambuzi wa siasa anatathmini kiwango cha kukubalika kwa rais John Pombe Magufuli, kufuatia kuongezeka kwa ukosoaji dhidi ya kiongozi huyo wa Tanzania, huku sauti zikizidi kuhanikiza kudai demokrasia na uhuru, na mandamano yakiitishwa kupitia mitandao ya kijamii.

https://p.dw.com/p/2uE52