JamiiGerald Bigurube amepata tuzo ya Ujerumani kwa AfrikaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSudi Mnette23.05.201823 Mei 2018Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika kwa mwaka huu imekwenda kwa wanaharakati wa mazingira kutoka Tanzania Gerald Bigurube na mwingine wa Madagascar Clovis Razafimalala. Sikiliza mahojiano ya Gerald Bigurube alipozungumza na Sylvia Mwehozi.https://p.dw.com/p/2yAVOMatangazo