Zanzibar leo inatimiza miaka 48 tangu kufanyika mapinduzi
11 Januari 2012Matangazo
Kuna tathmini tofauti zinazotolewa juu ya mapinduzi haya na kama hadi sasa yametimiza malengo yaliyowekewa. Othman Miraji amezungumza na Khamis Ameir, aliyekuwa mwanachama wa baraza la kwanza la mapinduzi visiwani humo mnamo mwaka 1964.Na tathmini yake ni hii.
Khamis Abdullah Ameir ni Mwanachama wa baraza la kwanza la mapinduzi ya visiwani Zanzibar akitathimini miaka 48 ya mapinduzi hayo kama alivyozungumza na Othman Miraji wa DW.