Zanzibar: Hali ya kiafya ya makamo wa kwanza wa Rais Seif Shariff Hamad | Matukio ya Kisiasa | DW | 07.03.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Zanzibar: Hali ya kiafya ya makamo wa kwanza wa Rais Seif Shariff Hamad

Wasiwasi na tetesi zilizagaa Visiwani Zanzibar wiki iliopita kuhusu hali ya kiafya ya makamo wa kwanza wa rais wa visiwani humo, Maalim Seif Shariff Hamad, baada ya kujulikana alilazwa hospitalini Hyderabad,nchini India.

default

Makamo wa kwanza wa rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharrif Hamad

Kutaka kujua vipi hali ya mwanasiasa huyo inavyoendelea na ugonjwa aliokuwa nao, Othman Miraji alizungumza naye alasiri ya leo akiwa hospitalini, na alimwambia hivi:

Mwandishi: Othman Miraji

Mhariri: Josephat Charo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com