YANGON:Serikali yamteuwa mjumbe katika mazungumzo na San Suu kyi | Habari za Ulimwengu | DW | 09.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

YANGON:Serikali yamteuwa mjumbe katika mazungumzo na San Suu kyi

Serikali ya kijeshi ya Myanmar hatimae imemteuwa naibu waziri ambae ataanzisha majadiliano na kiongozi wa upinzani bibi Aung San Suu Kyi.

Kwa mujibu wa televisheni ya taifa hatua hiyo inalenga kutimiza ahadi ya serikali ya kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na bibi San Suu Kyi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com