1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yaliyojiri kwenye maonesho ya kimataifa ya vyakula na vinywaji.

Lilian Mtono
13 Oktoba 2017

Pata kujua mambo mbalimbali yaliyojiri kwenye maonesho ya kimataifa ya vyakula na vinywaji yaliyofanyika katika mji wa Cologne, nchini Ujerumani. Ni maonyesho makubwa na hushirikisha jamii kutoka kila kona ya dunia. Sikiliza makala haya ya Sura ya Ujerumani kusikia mengi kutoka huko.

https://p.dw.com/p/2lm99