1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yaliyojiri kwenye kongamano la Kiswahili, Zanzibar

Lilian Mtono
4 Januari 2018

Unaizungumziaje lugha ya Kiswahili? Unaamini ni bidhaa adimu inayoweza kuuzika duniani? Unadhani ni wakati muafaka sasa kwa wafanyabiashara kuwekeza kwenye eneo hilo? Sikiliza yaliyojiri kwenye kongamano la Kimataifa la Kiswahili, lililofanyika hivi karibuni huko Visiwani Zanzibar usikie wadau wanasemaje?

https://p.dw.com/p/2qKU7