Wiki moja baada ya meli kuzama Zanzibar
16 Septemba 2011Matangazo
Duru zinaeleza kuwa juhudi za uokozi zimesitishwa mpaka nyenzo zaidi zitakapopatikana. Hata hivyo, bado hadi sasa hadithi za mkasa wa meli hii zinaendelea kutolewa. Mojawapo ni hii ya Ali Siasa Khamis, ambaye ni mmoja wa abiria waliokuwamo kwenye meli hiyo na kunusurika.
Mahojiano: Thelma Mwadzaya/Ali Siasa Khamis
Mhariri: Josephat Charo