1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri azungumzia uhuru wa habari Tanzania

29 Juni 2016

Baada ya vyama vya upinzani kulalamikia vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu kunakodaiwa kufanywa na vyombo vya usalama Pemba, DW imezungumza na naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania, Hamad Masauni.

https://p.dw.com/p/1JFs1
Mwandishi Ahmed Juma wa Pemba
Picha: DW/A. Juma

[No title]

Hii inakuja baada ya kisa cha kupokonywa kitambulisho cha uandishi wa habari kulichofanywa na Idara ya Habari, kwa mwandishi wa habari kisiwani Pemba, nchini Tanzania Ahmed Juma, ambae pia anairipotia DW kimeingia katika eneo la bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma. Wabunge wa upinzani wataja kuchukua hatua kadhaa kuhakikisha haki inatendeka.

19365517