Watu waliokamatwa kisiwani Pemba huenda wakakabiliwa na mashtaka ya uhaini
16 Mei 2008Matangazo
Inasemekana kwamba watu hao ni kati ya wale waliosalimisha malalamiko ya maandishi kwa mwakilishi wa Umoja wa Mataifa mjini Dar es salaam kutaka kuweko mfumo wa serekali ya Shirikisho ya Zanzibar. Scholastica Mazula alizungumza na kamishina wa polisi wa Zanzibar, Khamis Mohammed Simba, na alikuwa na haya ya kusema.