1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Watanzania wanne wauliwa Msumbiji

Kamanda wa polisi mkoani Mtwara, Henry Mwaibambe, anaripoti kwamba Watanzania hao walikuwa wakifanya biashara ya madini Msumbiji. Inaaminika kwamba wauaji walikuwa majambazi.

Sikiliza sauti 02:47

Ripoti ya Salma Mkalibala kutoka Mtwara

Sauti na Vidio Kuhusu Mada