1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Wasichana waolewe wakiwa na umri gani?

Serikali ya Tanzania imekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kutaka umri wa kuolewa uongezwe kutoka miaka 14 au 15 hadi miaka 18. Helen Kijo-Bisimba wa kituo cha sheria na haki za binadamu afafanua.

Sikiliza sauti 03:03

Mahojiano na Helen Kijo-Bisimba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada