JamiiWahadzabe walalamika kuhusu uvamiziTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiJosephat Charo10.11.201710 Novemba 2017Lakini kwa sasa jamii hiyo inalalamika kuwa katika tishio la kutoweka kutoka na ardhi yao kuvamiwa na wakulima, wafugaji, wachoma mkaa huku biashara ya utalii ikiwa haiwanuifaishi licha ya wao kuwa sababu ya watalii kufika katika eneo hilo.https://p.dw.com/p/2nQ21Matangazo