Wafanyakazi wa tume ya umoja wa mataifa wameanzisha mgomo nchini Kongo
23 Agosti 2007
Raia wa Kongo wanaofanya kazi kwenye tume ya umoja wa mataifa nchini humo wameanzisha mgomo na kuandamana hii leo mjini kinshasa ilikuomba nyongeza za mishahara na kupewa heshima kama wafanyakazi wengine wa Umoja wa mataifa .
https://p.dw.com/p/CH9E
Matangazo
Kwa wakati huohuo MONUC imesema kwamba wanajeshi 57 wa jeshi jipya la DRC wametoroka jeshini,jimboni kivu ya kaskazini.
Ripoti kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.