1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachimbaji watano waokolewa Tanzania

Isaac Muyenjwa Gamba17 Novemba 2015

Wachimbaji watano wa madini kati ya sita walokuwa wamefukiwa na kifusi kwa muda wa siku 41 tangu Oktoba 5 katika machimbo ya mgodi ya Nyangalata, Wilaya ya Kahama, Shinyanga na hatimaye kuokolewa. Kutoka Shinyanga mkuu wa wilaya ya kahama Vita Kawawa anafafanua zaidi.

https://p.dw.com/p/1H71J