1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyombo vya usalama Tanzania vyatuhumiwa kutesa wapinzani

Mohamed Karama Dahman30 Juni 2016

Mbiu ya Mnyonge inaangazia tuhuma dhidi ya vyombo vya usalama vya taifa la Tanzania, kutumika kutesa wapinzani kama njia ya kuwanyamazisha, kufuatia kisa cha kutekwa nyara na kuteswa Natalis Mataba, Mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA wa kata ya Sola.

https://p.dw.com/p/1JGZ6

Ungana na Mohammed Dahman katika kipindi cha Mbiu ya Mnyonge.