Vyombo vya Mawasiliano na Habari – Kipindi 10 –Hewani!
11 Novemba 2010
Vijana hao 3 wamepata mahali kwa ajili ya ofisi yao pamoja na leseni. Ezra atatumia mtandao wake wa wanahabari wa nchi kadhaa za Afrika.Kila kitu kina kwenda sawa,lakini wana shaka na kurusha matangazo kwa mara ya kwanza