Vyama gani kushiriki uchaguzi Zanzibar? | Matukio ya Afrika | DW | 09.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Vyama gani kushiriki uchaguzi Zanzibar?

Baada ya Chama cha Wananchi CUF kususia uchaguzi wa Machi 20, vyombo vya habari Tanzania vimetaja vyama vya vitano kikiwemo CCM, ADC, TLP, Sau pamoja na Chama Cha Kijamii (CCK) kuwa vinaweza kushiriki.

Sikiliza sauti 02:57

Mahojiano kati ya Sudi Mnette na Constantine Akitanda

Sudi Mnette amefanya mahojiano na mwenyekiti wa chama hicho, Constantine Akitanda. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada