Vikoba mkombozi wa wanawake | Mada zote | DW | 14.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Vikoba mkombozi wa wanawake

Wanawake wa kipato cha chini wameweza kunufaika na kupiga hatua kimaendeleo kupitia vikundi vya akiba na mikopo maarufu kama Vikoba katika nchi za Tanzania na Kenya. Ungana naye Fathiya Omar akiliangalia hilo kwa kina katika makala ya Wanawake na Maendeleo.

Sikiliza sauti 09:46
Sasa moja kwa moja
dakika (0)