1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Mapambano wajitafutia riziki

Josephat Charo
9 Novemba 2017

Hutumia vyuma na mabati chakavu kutengeneza bidhaa muhimu kwa Watanzania wa kawaida kama vile majiko ya mkaa, majaro, masanduku ya nguo na makarai.

https://p.dw.com/p/2nN77