1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na matumizi mabaya ya mikopo ya chuo

Bruce Amani Alakonya / MMT1 Agosti 2016

Wakati serikali za nchi hutoa mikopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu ili waweze kujilipia kodi ya nyumba, kununua chakula na malazi na kukimu mahitaji mengine ya kila siku, wapo wanafunzi wanaotumia fedha hiyo vibaya. Bruce Amani anangalia suala hilo katika Vijana Mchaka Mchaka.

https://p.dw.com/p/1JZat