1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uzazi wa mpango na changamoto zake

Lillian Mtono1 Agosti 2016

Kuna njia tofauti za kumzuia mwanamke kupata mimba au kumfanya mwanaume asiweze kumpa mwanamke mimba. Kila mtu ana njia ambayo inamfaa zaidi. Je, madaktari wanashauri nini na kuna changamoto gani? Hayo anayazungumzia Lilian Mtono katika makala ya Afya Yako.

https://p.dw.com/p/1JZav