Polisi nchini Kenya wanaendelea na harakati za kujaribu kumtafuta mwanamke wa Kifaransa wa miaka 66, Marie Dedieu, aliyevamiwa nyumbani kwake kwenye kisiwa cha Manda kilichoko karibu na kisiwa cha Lamu.
https://p.dw.com/p/12lHa
Matangazo
Thelma Mwadzaya amezungumza na mwandishi wetu wa Mombasa, Eric Ponda, kuhusiana na hali ilivyo sasa kisiwani Lamu, ambako inasemekana baadhi ya watalii wameanza kuondoka.