Rais wa Venezuela Nicolas Maduro adai kupata ushindi katika kura ya Kuchagua bunge iliyofanyika Jumapili. Upinzani Tanzania wakosoa sera za kiuchumi za Rais John Magufuli na Afisa mmoja wa tume ya uchaguzi Kenya aliyekuwa amepotea akutwa amefariki. Papo kwa Papo 31.07.2017.