1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Ulemavu si kilema!"

7 Julai 2015

Msemo huo umetimia kwa mhadhiri wa maswala ya sheria, Dk. Abdallah Possi, mlemavu wa ngozi nchini Tanzania, kwa bidii kubwa aliyoifanya maishani na bila kujali changamoto zilizomkabili katika jamii.

https://p.dw.com/p/1Fu9O
Tansania Albinismus Abdallah Possi
Picha: privat

"Ulemavu si kilema!"