1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba wa sukari Tanzania kuleta mbinyu wa kiuchumi

26 Februari 2024

Bei ya Sukari imepaa Tanzania wakati huu Wakristo wakiwa katika kwaresma na Waislamu wakijiandaa kuingia katika mfungo wa Ramadhani. Hii inaongezea madhila wanayokumbana nayo raia wa taifa hilo ya mgao wa umeme na ukosefu wa sarafu ya dola, kama anavyoripoti Yakub Talib.

https://p.dw.com/p/4csn2