Ufaransa yakanusha kuhusika na mauaji ya Rwanda ya 1994
7 Agosti 2008Matangazo
Rwanda kwa mara ya kwanza imesema inaweka uwezekano wa kuwafuatilizia kisheria waliotajwa katika ripoti hiyo.Ili kupata mwangaza zaidi juu ya suala hili kutoka mjini Paris, Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa za Ufaransa kuelekea Afrika Salim Himid na kwanza alimuuliza je tuhuma za Rwanda zimepewa uzito gani nchini humo.