1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi: Uchaguzi wa Malindi na Kericho, Kenya

Bruce Amani Alakonya9 Machi 2016

Muungano wa Upinzani CORD nchini Kenya unashangilia ushindi wa kiti cha ubunge Malindi. Hata hivyo CORD iliangushwa katika uchaguzi mwingine wa kiti cha Useneta kaunti ya Kericho. Sikiliza uchambuzi wa David Makali.

https://p.dw.com/p/1I9iY