Ubelgiji kuwarudisha nyumbani waasi wa Rwanda wa FDLR,Interahamwe na Marasta
27 Juni 2007
Ubelgiji,mkoloni wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo,imetangaza kuwa itatumia njia ya kidiplomasia kwa kuwarudisha nyumbani waasi wa Rwanda wa FDLR,Interahamwe na Marasta wanaoishi mashariki mwa nchi hiyo.