1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wengine wasema yuko sahihi

Sudi Mnette25 Septemba 2015

Mtikisiko mwengine kwenye kambi ya upinzani nchini Tanzania kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa, kujiondoa kwenye chama hicho umesifiwa na baadhi na kupondwa na wengine.

https://p.dw.com/p/1GdYC
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa.Picha: DW/M.Khelef

Mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Rutaraka Ate Jr., anazungumza na Sudi Mnette juu ya hatua ya Dk. Slaa kujiengua sio tu kutoka wadhifa wake wa ukatibu mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani, bali pia kumponda vibaya mgombea urais wa chama chake, Edward Lowassa, ambaye anawakilisha pia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman