Tume ya ukweli na maridhiano nchini kenya yaanza vikao katika mkoa wa Pwani
25 Januari 2010Matangazo
Tume hii inatarajiwa kusafiri pembe zote za jamhuri ya Kenya katika kukusanya maoni na kupendekeza njia muafak za kuleta maridhiano na kuepusha hali kama hiyo siku zijazo.
Lakini kama anavyotueleza mwandishi wetu Eric Ponda kutoka mjini Mombasa,si wakenya wengi walio na imani na tume hii.
Mwandishi:Eric Ponda
Imepitiwa na: Hamidou Oummilkheir