1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump akubali uteuzi wa Republican

22 Julai 2016

Donald Trump ni mgombea rasmi wa chama cha Republican katika uchaguzi wa Novemba, baada ya kukubali uteuzi wa chama hicho, Bunge la Uturuki launga mkono tangazo la sheria ya hali ya hatari, na wakati mkutano wa kimataifa kuhusu ukimwi ukimalizika Durban, wataalamu waonya, dawa ya ugonjwa huo haiko karibu.

https://p.dw.com/p/1JUTD