1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Thuli Madonsela apokea tuzo ya Ujerumani Barani Afrika.

Lilian Charles Mtono28 Novemba 2016

Thuli Madonsela, ambaye aliwahi kuwa msimamizi wa mali za umma nchini Afrika Kusini, amepokea tuzo ya Ujerumani Barani Afrika kutokana na harakati zake za kupambana na ufisadi nchini mwake.

https://p.dw.com/p/2TOZg