Tanzania na Ujerumani yazindua Taasisi ya meli ya MV Liemba
5 Machi 2010Matangazo
Malengo mengine ya taasisi hiyo ni kutoa
elimu ya mazingira, utawala bora na teknolojia ya uvuvi bora kwa wananchi
wa Tanzania na eneo la maziwa makuu. Mwandishi wetu , George Njogopa,
anaarifu zaidi kutoka Dar es Salaam.
Mtayarishi: Josephat Charo
Mhariri: Othman Miraji