1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Tanzania: Mkutano wa mashirika ya kidini na Taasisi za kiraia wafanyika jijini Dar es Salaam

Mashirika ya kidini na taasisi za kiraia nchini Tanzania wameanza kukutana jijini Dar es Salaam kujadili njia bora zitakazosadia kuimarisha utawala bora na kuepuka migongano isiyokuwa ya lazima na mamlaka za serikali.

default

Jiji la Dar Es Salaam kunakofanyika mkutano wa Mashirika ya Kidini na taasisi za kiraia unaofadhiliwa na Wakfu wa Konrad Adenauer

Mkutano huo wa siku tatu unaofadhiliwa na wakfu wa kijerumani wa Konrad Adenauer pia unawajumuisha wasomi kutoka fani za kisiasa na utawala.Mwandishi wetu John Njogopa na ripoti kamili.

Mtayarishaji:John Njogopa

Mpitiaji:Jane Nyingi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 24.11.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/KeOp
 • Tarehe 24.11.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/KeOp