1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Tanzania: Huduma za fedha kufikishwa vijijini

Wataalamu wa masuala ya fedha Tanzania wamekutana kuweka mikakati ya kiuchumi ambayo itawawezesha watu wa vijijini wafikiwe na huduma za kifedha ili kwenda sambamba na miradi inayobuniwa na serikali.

Sikiliza sauti 02:17

Sikiliza ripoti ya George Njogopa kutoka Dar es Salaam

Sauti na Vidio Kuhusu Mada