1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Tanzania-Dodoma CCM

Mkutano mkuu wa nane wa chama kinachotawala nchini Tanzania leo unaingia katika siku yake ya pili huko mjini Dodoma.

Jakaya Kikwete Portrait

Miongoni mwa mambo makubwa katika mkutano huo ni uchaguzi wa viongozi wa juu wa chama hicho wakiwemo wajumbe kwa nafasi 20 za Halmashauri kuu. Aboubakary Liongo wa DW anahudhuria mkutano huo na kutoka huko Dodoma ametutumia taaarifa ifuatayo. Kusikiliza taarifa, bonyeza alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.

Mwandishi: Aboubakar Liongo
Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada