1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: CUF yadai kutotishwa na kusajiliwa ADC

5 Septemba 2012

Chama cha CUF nchini Tanzania kimesema kupatiwa usajili wa kudumu kwa chama kipya cha ADC ambacho wanachama na viongozi wake ni wale waliotoka CUF hakumaanishi ushawishi wa chama hicho sasa umefika mwisho wake.

https://p.dw.com/p/163n8
Mwenyekiti wa chama cha CUF Tanzania, Profesa Ibrahim Lipumba.
Mwenyekiti wa chama cha CUF Tanzania, Profesa Ibrahim Lipumba.Picha: Mohammed Khelef

Katika mahojiano maalumu na mwandishi wetu George Njogopa, mwenyekiti wa
chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba hata hivyo ametilia wasiwasi namna
chama hicho kilivyopata usajili wa kudumu tofauti na inavyokuwa kwa
vyama vingine vya siasa.

(Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Daniel Gakuba
Mhariri: Saumu Yusuf