1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Ulimwengu - Asubuhi 17 Agosti 2016

Mohammed Khelef17 Agosti 2016

Urusi imefanya mashambulizi ya kwanza ya anga kutokea Iran dhidi ya mji wa Aleppo, kaskazini mwa Syria. Donald Trump asema akichaguliwa urais wa Marekani, atapigania usawa wa Wamarekani wote, kauli inayotafautiana na hotuba zake za awali. Sherehe za kuapishwa kwa rais wa Zambia zaahirishwa kupisha kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi.

https://p.dw.com/p/1JjRE