1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 26.11.2017

Yusra Buwayhid
26 Novemba 2017

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel atarajiwa kufanya mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano na chama cha SPD. Aliyekuwa waziri wa fedha wa Zimbabwe adai alitekwa nyara wakati wa udhibiti wa kijeshi wa kumuondoa madarakani alyiekuwa rais Robert Mugabe. Aliyekuwa kiongozi wa jimbo la Catalonia, Carles Puigdemont, azindua kampeni za uchaguzi akiwa Ubelgiji.

https://p.dw.com/p/2oGyS