1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 14.09.2017

Josephat Charo
14 Septemba 2017

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lalaani machafuko nchini Myanmar na kutoka yakome. Duru mpya ya mazungumzo kuhusu mzozo wa Syria kuanza mjini Astana nchini Kazakhstan. Ma Waziri wa fedha wa Ujerumani Wolfgang Schauble aunga mkono mpango kujenga Umoja wa Ulaya wenye mafungamano zaidi.

https://p.dw.com/p/2jw4I