1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na HakiKimataifa

Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 08.08.2023

8 Agosti 2023

Majaji wa Umoja wa Mataifa waamuru kusitishwa kwa kesi ya Felicien Kabuga. Mwanadiplomasia wa Marekani akutana na viongozi wa kijeshi wa Niger. Ukraine yamtia nguvuni mwanamke anayetuhumiwa kuwa jasusi wa Urusi.

https://p.dw.com/p/4Uspa