Muhtasari: Kampeni za kwenye intaneti za mrengo wa kulia zilileta ushawishi katika uchaguzi wa Ujerumani. Rais wa Marekani Donald Trump ameamuru wizara ya sheria kuandaa kanuni mpya ambazo zitapiga marufuku vifaa vyote kama vile bunduki zilizotumika katika mauaji ya Las Vegas . Na kiongozi wa Palestina Mahmoud Abbas ametaka kufanyike mkutano wa kimataifa juu ya amani ya Mashariki ya Kati,